SAUDA MWILIMA NA KAULI JUMA 'BEST' WAMEREMETA


 MAharusi Sauda Mwilima ambaye ni mtangazi wa kituo cha Televisheni chga Star Sauda Mwilima na mumewe KAuli Juma 'Best' ambaye ni msanii wa muziki mara baada ya kugunga ndoa jana katika ukumbi wa Catch uliopo Ilala jijini Dar es Salaam.
 Maharusi wakiingia katika ukumbi wa Msasanmi Beach Club kwa sherehe ya kujipongeza baada ya kufunga ndoa hiyo.
 Wasimamizi kwa upande wa bibi harusi
Kwa upande wa Wanaume walikuwa ni wasanii maarufu wa bongoi Fleva, Diamond, Steve Rn B, Ommy Dimpoz na mwanamitindo Martin Kadinda.

Comments