R.I.P MPENDWA WETU STEVEN KANUMBA

 
 Mwili wa marehemu kanumba ukiwa katika kwa ajili ya kuagwa kwenye viwanja vya leoaders mapema leo, msanii huyo aliyefariki usiku wa kuamkia jumamosi amezikwa jioni ya leo katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
 Mama mzazi wa marehemu akiaga
 Hawa ni watoto wa kiume ambao waliibuliwa katika sana na marehemu Kanumba
 Zao la Kanumba katika tasnia ya filamu
 Nyota hawa wadogo wataendelea kumkumbuka Kanumba milele kwaniu ndiye aliyeibua vipaji vyao
 Wanakamati ya mazishi ambao ni wasanii wenzake marehemu Kanumba wakiwa pimbeni ya jeneza la kipenzi chao.
 Miss Tanzania 2006 ambaye pia ni msanii aliyeibuliwa na marehemu Kanumba, Wema Sepetu katikati akiwa na wasanii wenzake.

 Mdogo wa marehemu, Seth
 Huyu ni baadhi ya wengi waliozimia kutokana na kutoamini kile kilichotokea
 Mbunge wa viti maalum Vicky Kamata na mkurugenzi wa African Stars, Asha Baraka
 Mmmoja ya wasanii wa bongo muvi, Yvone Cherry 'Monalisa' akisaidiwa na wenzake

 Mpiganaji Athuman Hamis naye alifika kumuaga marehemu Kanumba
 Makamu wa Rais Dk Gharib Bilal aliongoza upande wa serikali hapa akiwa na mke wa Rais Mama Salma Kikwete (Mwenye nguo nyeupe), Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo, Emmanuel Nchimbi, Mkuu wa mkoa wa DAr es Salaam, Meck Sadick wa kwanza kushoto na mama Zakhia Bilal wa kwanza kulia.
 Dada wa marehemu akisaidiwa
 Ilikuwa ni majonzi makubwa
Kalale pema peponi Kanumba, Kalale pema peponi Kanumba

Comments