RAIS KIKWETE AHANI MSIBA WA KANUMBA

Rais Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu Steven Charles Kanumba Sinza 'Vatican' jijini Dar es salaam leo April 8, 2012 kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kwa wafiwa PICHA NA FREDDY MARO-IKULU

Comments