MTAMBO WA GONGO AMDUNDA MATUMLA


Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Temeke, Sedoyeka Thomas na Mratibu wa
burudani katika Ukumbi wa Dar Live Juma Mbizo wakimpatia ngao ya
pasaka. Bondia Maneno Osward baada ya kumdunda Rashidi Matumla
kwa pointi Dar es salaam jana.
Mabondia Maneno Osward (kushoto) na Rashidi Matumla wakioneshana
ufundi wa kutupa masumbwi wakati wa mpambano wao wa kugombea ngao ya
pasaka iliyotolewa na ukumbi wa Dar LIve Maneno alishinda kwa pointi.

Comments