DIAMOND:TUZO TATU SUTI TATU USIKU MMOJA



Msanii wa bongo Fleva Diamond akiwa katika mavazi tofauti wakati wa hafla ya utoaji tuzo za muziki za Kili mwaka 2012 zilizofanyia usiku wa kuamkia jumapili ambapo katika hafla hiyo aliweza kutwaa tuzo tatu kwa mpigo ikiwemo mtunzi bora, ntumbuizaji bora wa kiume video bora, aidha katika tukio hilo nyota huyo alionekana kuwa kivutio baada ya kubadili mavazi mara tatu huku akionekana nadhifu zaidi.

Comments