MILOVAN AWAPASHA WACHEZAJI WAKE

KOCHA mkuu wa Simba Mserbia Milovan Cirkovik amewataka wachezaji wake kutambua kuwa wanakabiliwa na mchezo muhimu wa ligi kuu soka Tanzania bara dhidi ya Ruvu Shooting siku ya Jumapili.
Milovan aliye na kikosi hicho kambini Bamba Beach amewaeleza kuwa mchezo huo ni muhimu kama ilivyo mingine hjivyo hawana budi kuweka akili na mawazo yao sawa ili waweze kushinda.

Comments