MFUKO WA PESHENI WA LAPF WAPIGA TAFU KAMBI YA MASUMBWI

Meneja Mawasiliano na Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF, AndrewKuyeyana (kulia) akimkabidhi baadhi ya vifaa vya mchezo wa Masumbwikwa Katibu wa Shirikisho la Ngumi za Ridhaa Nchini (BFT) MakoreMashaga Dar es salaam Leo, Kwa ajili ya mabondia wanaojiandaa kufuzu
mashindano ya Olimpic katikati ni Katibu Mkuu wa Balaza la MichezoTanzania (BMT), Henry Lihaya.(Picha na
www.superdboxingcoach.blogspot.com)

Comments