MAMIA WAFURIKA VIWANJA VYA LEADERS KUMUAGA MAREHEMU STEVEN KANUMBA

Mwili wa Marehemu Steven Kanumba ukiwa umekwishawasili kwenye viwanja vya Lidaz Club,Kinondoni jijini Dar mapema hii asubuhi tayari kwa watu mbalimbali wakiwemo viongozi wa serikali kuanza kuuaga mwili.
There is a special choir for the event..
So many people are already at Leaders Club,and other keep coming!!
This is Steven Kanumba's casket as it arrives at Leaders Club
There are so many people...

Personally,i thank the government for its involvement,esp to provide security
There are security men everywhere!!
People keep on fainting...i think the disbelief is still there!! The one in white is Steven Kanumba's Mother,as she arrives at Leaders Club. So sad
Red Cross are having a hard time today...if you want to volunteer,please show up at Leaders Club,NOW...
All images by Jeff of Bongo Celebrity, Irenei Kiria through twitter

Picha Zote kwa hisani ya Mitandao mbalimbali.i.e Miss Popular Blog,DjChoka Blog,Bongocelebrity.com

Comments