MAMBO YAANZA MISS KIGAMBONI CITY 2012



Washiriki wa shindano la Miss Kigamboni City wakiwa katika picha ya
pamoja jana wakati walipokutana na waandaaji wa a shindano hilo somoe
ng'itu na  Angella Msangi hawapo pichani  kwa mazungumzo na
kufahamiana, mazungumzo hayo yalifanyika kwenye mgahawa wa Hadees
Posta  jijini Dar es salaam. 

Comments