LIVERPOOL WANG'ARA

LIVERPOOL  imetingia fainali ya Kombe la FA, baada ya kuwafunga wapinzani wao wa jadi, Everton mabao 2-1, mabao ya Luis Suarez dakika ya 62 na Andy Carroll dakika ya 87, wakati la wapinzani wao lilifungwa na  Jelavic dakika ya 24. Mchezo huo umemalizika hivi punde tu kwenye Uwanja wa Wembley.

Comments