KOCHA JKT RUVU AZUNGUMZIA MCHEZO WAO NA SIMBA KESHO

 

Kocha wa timu ya JKT Ruvu Bw. Chazi Kilindi akiongea na waandishi wa habari leo makao makuu ya timu hiyo juu ya mchezo kati ya timu hiyo na Simba ya jijini Dar es salaam kesho kwenye uwanja wa taifa, ambapo amesema timu yake imejiandaa vyema kukabili Simba na nia yake ni kuondoka na ushindi uwanjani hapo, kulia daktari wa timu ya JKT Bw.Mussa Joseph.
(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)

Comments