INTER MILAN WAPEWA LIKIZO


Milito alifunga mabao matatu katika ushindi wa 5-4 na Genoa

KOCHA mpya wa Inter Milan, Andrea Stramaccioni amewapa wachezaji wake mapumziko ya siku moja kufuatia ushindi wa 5-4 dhidi ya Genoa katika Serie A jioni ya jana. 
Kwa mujibu wa tovuti ya Inter, awamu ya kwanza ya kwanza ya mazoezi ya wiki hii itakuwa kesho mchana kujiandaa na mechi ya ugenini dhidi ya Cagliari v Inter, Aprili 7 kwenye Uwanja wa Sant'Elia saa 11:00 jioni.  

Comments