KAMATI YA MAADILI MCT YAKEMEA UPOTOSHANJI WA MAGAZETI JUU YA KESI INAYOMKABILI ELIZABETH MAIKO "LULU"


K

Mwenyekiti wa kamati ya maadili  ya Baraza la Habari Tanzania (MCT) Jaji Mstaafu Thomas Mihayo akiongea na waandishi wa habari leo katika makao makuu ya baraza hilo kuhusu upotoshaji uliofanywa na baadhi ya magazeti juu ya kesi inayomkabili muigizaji Elizabeth Maiko maarufu kama "Lulu"
.(PICHA ZOTE NA PHILEMON SOLOMON-FULLSHANGWE)
Katibu Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania  (MCT) Bw. Kajubi Mkajanga akitoa ufafanuzi katika mkutano huo leo, katikati ni Mwenyekiti wa kamati ya maadili  ya Baraza la Habari Tanzania (MCT) Jaji Mstaafu Thomas Mihayo na kushoto na kushoto ni Makamu Mwenyekiti kamati ya maadili Baraza la Habari Tanzania Bi. Rose Haji.
Baadhi ya waandishi wa habari walioudhuria katika mkutano huo wakisikiliza kwa makini maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Jaji Mstaafu Thomas Mihayo

Comments