YANGA WAIONYA COASTAL UNION

Mabingwa watetezi wa ligi kuu Yanga wamesema kichapo dhidi ya Caostal Union wikend hii ni lazima.
Yanga imesema ushindi kwao ni muhimu kwani lengo lao ni kushinda michezo yote iliyosalia kwenye ligi hiyo huku ikiwaombea mabaya Azam na Simba ambazo zinaonekana kwa karibu kuwania ubingwa.
Ofisa habari wa Yanga louis Sendeu amesema kwamba kikosi kipo katika hali nzuri na kinaendelea na mazoezi yake ya kawaida katika Uwanja wa Tipper Kigamboni.

Comments