USHER RAYMOND APIKA ALBAMU MPYA


NEW YORK, Marekani
 MWIMBAJI maarufu wa R&B, Usher Raymond, anatarajiwa kuachia albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la ‘The Shanertance,’ anayotarajia kuitoa hivi karibuni, mwaka huyu.
Akizungumzia kuhusu albamu hiyo alisema, “Sitamaliza mwaka huu bila kutoa albamu na ninahitaji kuachia kazi hiyo mpya ambayo itakuwa maalumu kwa ajili ya mashabiki wangu wa London, Uingereza.”
Usher alisema: “Ninahitaji kuushika ulimwengu huu kwa kushirikiana na Labrinth na nina hakika kazi hiyo itashika nchi za U.S. na U.K.
Usher aliongeza

Comments