UNATAKA UWAKALA WA WACHEZAJI?JIVUTE TFF !


Said Tuliy, mmoja ya mawakala wanaotambuliwa na FIFA

Mtihani kwa kwa ajili ya watu wanaotaka kuwa mawakala wa wachezaji na mechi wanaotambuliwa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) utafanyika Machi 31 mwaka huu saa 4 kamili asubuhi ofisi za Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (FIFA).

Kwa wanaotaka uwakala huo wanatakiwa kujisajili ambapo watapewa kanuni mbalimbali za FIFA na TFF ili waweze kujiandaa kikamilifu kwa mtihani huo utakaokuwa na sehemu mbili. Sehemu ya kwanza ya mtihani huo ni maswali kutoka FIFA wakati nyingine ni kutoka TFF.

P

Comments

  1. YANGA BOMBA-UHURU BRANCHMarch 24, 2012 at 10:46 PM

    HIVI HUYU JAMAA PICHANI NA WENZAKE UKIACHA DAMAS NDUMBARO NA YUSUF BAKHRESA HIZO LESENI ZAO NI ZA KUUZIA SURA TU AU?MAANA SIJASIKIA KAMA KUNA HATA MCHEZAJI WAMEWAHI KUMPELEKA KUFANYA MAJARIBIO UARABUNI AMBAPO ZAMANI WACHEZAJI WALIKUA WAKIJIENDEA KAMA SOKONI WAKATI HAKUNA HAWA MAWAKALA WA FIFA,WABONGO TUNAPENDA SANA SIFA ZISIZO HATA NA FAIDA AISE,NIKIONA WATU KAMA HAWA NAMKUMBUKA SANA SWAHIBA WANGU "MWANANGU" SYLERSAID MZIRAY,AMBAE ALIKUA ANAPENDA KUWACHANA LIVE HAWA "WATU WA MPIRA" WA BONGO

    MDAU WA BOMBA-USA

    ReplyDelete

Post a Comment