TMTV a.k.a TANZANIA MUSIC TELEVISION

WAPENDWA WATAZAMAJI WA TMTV,TUNAWAOMBA RADHI KWA MATATIZO YALIYOJITOKEZA HAPO AWALI.KWA SASA TMTV IPO FITI NA MAMBO YAMEKUWA NI MAZURI KWANI NYIMBO KIBAO  MPYA ZIPO HEWANI.TAFADHALI MJULISHE NA MWEZIO UPATAPO UJUMBE HUU KWA BURUDANI ZAIDI.

BONYEZA HAPA KUINGIA KTK TV.  http://www.tmtv.co.tz/


Tanzania Music Television (TMTV) ni TV ambayo  unaweza kuiona Online na pia ktk  DECODER . TMTV itazinduliwa hivi karibuni  pindi maandalizi yatakapokuwa tayari. Kwasasa waweza kuendelea kuangalia Chanel  hii bure kupitia computer yako kwa linki hii  www.tmtv.co.tz.
Mauzo ya DECODER yataanza  pindi decoder zitakapo kamilika.Ili watu waweze kuona TMTV kupitia TV zao za  majumbani.
Vile vile ni TV ambayo inarushwa kwa teknonlojia mpya ambayo  unaweza kuangalia TMTV kupitia, MOBILE ,GAMES Kama XBOX360,SMATPHONES, aina zote za mobile kama Nokia, Motorolla, Samsung, LG Zenye 3G n.k pia kupitia  Android na Decoder TRU SATTELITE.
TMTV ni kwa ajili yetu sote, isitoshe  ni ya kijanja na imelenga kutuburudisha kokote tulipo kupitia simu zetu na  computer zetu. Ikiwa kama  MTV chanel.
TMTV ni music chanel ambayo inaonyesha  music ya kibongo mchanganyiko 24/7.

TMTV ina vipindi 10,

BENDI ZETU
SWAHILI HIP  HOP
ZILIPENDWA
TAARABU
NYIMBO ZA ASILI
NYIMBO ZA DINI
SALAMU  BOX
BONGO BOX
TMTV TOP 10
VIPAJI na
MUSIC NEWS.
Tusiogope  kuisapoti bidhaa yetu ya nyumbani kabisa. Tuipe ushirikiano wa  kutosha
Link  
www.tmtv.co.tz      Downlod microsoft Silverlight itajitokeza  ktk screen,kama haijafunguka yenyewe.
Email. 
info@tmtv.co.

Comments