TFF YAIFANYIA UJANJA SIMBA KATIKA SUALA LA KULIPA FIDIA YA UHARIBUNI WA VITI U/TAIFA




Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Leonard Thadeo (kulia) akitoa tamko jana jijini Dar es salaam la kutaka Shirikisho la Soka Nchini (TFF) kulipa Shilingi milioni 5 kwa ajili ya gharama za matengenezo ya viti vya Uwanja wa Taifa vilivyoharibiwa na Washabiki wakati Mechi ya Simba na Kiyovu wiki iliyopita. Uharibifu huo umesababisha viti 152 kuharibiwa na 11 kuvunjwa kabisa. Mkurugenzi huyo alitoa tamko hilo kwa niaba ya Waziri wa Habari, Vijana , Utamaduni na Michezo Dkt Emmanuel Nchimbi .Kushoto ni Afisa Habari Idara ya Habari(MAELEZO) Lydia Churi.
Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO- Dar es salaam

Comments