MSHAMBULIAJI
Luis Suarez amesema anaamini Liverpool haitaki kumuuza pamoja na skendo za
ubaguzi.
Mshambuliaji
huyo wa Uruguay alifungiwa mechi nane msimu huu baada ya kukutwa na hatia ya
kumfanyia vitendo vya kibaguzi beki wa Manchester United, Patrice Evra kwenye
mechi baina ya timu hizo.
Tangu wakati huo, Suarez amekuwa akiripotiwa kutaka kuondoka Anfield wakati klabu imeripotiwa kutaka kubaki naye.
"Nimezungumza na watu katika klabu na wanafahamu kwamba n ataka kubaki na kwamba ninafurahia binafsia na ninafurahia hapa,"alisema Suarez.
Suarez, aliyejiunga na Liverpool kwa dau la pauni Milioni 35 Januari mwaka 2011 akisaini mkataba wa miaka mitano na nusu, alifunga bao Jumapili katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Stoke akiiwezesha Liverpool kutinga fainali ya Kombe la FA.

Luis suarez hakusajiliwa kwa dau la paund million 35. Pia suarez alifunga bao lililoiwezesha liverpool kuting "nusu fainali" ya FA Cup na sio "fainali" ya FA Cup
ReplyDelete