SIMBA WAVAMIA MORO TAYARI KUIKABILI MTIBWA J'2

WEKUNDU wa Msimbazi Simba wamewasili mkoani Morogoro tayari kwa mchezo wao wa Ligi Kuu soka Tanzanbia Bara dhidi ya Mtibwa Sugar ya Morogoro utakopigwa jumapili katika Uwanja wa Jamhuri mjini humo.
Simba imewasili huko ikitokea Dodoma ilipokuwenda kjucheza na maafande wa Polisi Tanzania na kuibuka na ushindi wa bao 1-0 jumatano kabla ya jana kujinoa na CDA ya Dodoma.
Vinara hao wa VPL wameapoa kushinda mechi yao na Mtibwa na kuendelea kukalia kiti hicho. 

Comments