FIFA KUWANUFAISHA WACHEZAJI STARS


SHIRIKISHO la soka la Kiamataifa (FIFA) limepanga kuanza kuwakatia bima wachezaji wa timu za Taifa.
Rais wa Fifa Sepp Blatter amesema kuwa  bima hiyo pia itavinufaisha vilabu, vyama vya soka katika michezo yote inayosimamiwa na shirikisho hilo ambapo mpango huo utaanza katika fainali za kombe la dunia mwaka 2014.
Fifa imefuata nyayo za Shirikisho la soka Ulaya (UEFA) ambalo lilianza mpango huo mwezi januri mwaka huu.

Comments