SHESHE LA YANGA LIVE BILA CHENGA

Refa Israel Nkongo akikimbia wachezaji wa Yanga baada ya kutoa kadi nyekundu ya pili
Kado akidaka mbele ya Bocco
Vitui vilivyovunjwa kwenye vurugu
Nahodha Nsajigwa akizuiwa na Polisi asimsogelee refa baada ya Niyonzima kupewa kadi nyekundu
Vijana mashabiki wa Yanga wakipelekwa mbele jkwa tuhuma za kuvunja viti

Comments