SEMINA YA MAWAKALA REDD'S MISS TANZANIA YAFANYIKA LEO

BAADHI ya mawakala watakaoandaa mashindano ya kumsaka Redd's Miss Tanzania 2012 katika ngazi tofauti wakiwa katika picha ya pamoja mara baada kufanyika kwa semina maalum ya kuwanoa kwenye hoteli ya Giraffe Ocean View jijini Dar es Salaam leo.

Comments