SEMINA ELEKEZI YA MASHINDANO YA COPA COA COLA YAFANYIKA JIJINI DAR ES SALAAM



Makamu wa Rais wa Shirikisho la Soka (TFF) Athuman Nyamlani,akizungumza wakati ufunguzi wa semina elekezi ya msimu wa mashindano ya Copa Coca Cola 2012 kwa Makatibu wa vyama vya Mikoa jijini Dar es Salaam leo mashindano ya Copa Coca Cola 2012 kwa Makatibu wa vyama vya Mikoa jijini Dar es Salaam jana.Katikati ni  Mkurugenzi wa Michezo katika Wizara ya Habari  Utamaduni na Michezo Leonard Thadeo na Meneja uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Coca-Cola kwanza,Evance Mlelwa.

 Mkurugenzi wa Michezo katika wizara ya Habari Utamaduni na Michezo, Leonard Thadeo, akitoa hotuba ya ufunguzi wa semina elekezi ya msimu wa mashindano ya Copa Coca Cola 2012 kwa Makatibu wa vyama vya Mikoa jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni wa Rais wa Shirikisho la Soka (TFF) Athuman Nyamlani

Mkurugenzi wa Ufundi na Afisa Maendeleo wa Shirikisho la Soka(TFF) Sunday Kayuni,akizungumza wakati ufunguzi wa semina elekezi ya msimu wa mashindano ya Copa Coca Cola 2012 kwa Makatibu wa vyama vya Mikoa jijini Dar es Salaam leo

Comments