HASSANOO KUBARIKI LIGI SOKA PWANI


MWENYEKITI wa  Chama cha Soka mkoa Pwani (COREFA), Hassan Othman ‘Hasanoo’  (Pichani)atakuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Ligi ya Taifa ngazi ya Mkoa huo itakayoanza  kutimua vumbi Machi 13 katika vituo vitatu tofauti vya Bagamoyo, Mkuranga A na B pamoja na Mafia.
Msemaji wa COREFA Masau Bwire, amesema  Hasanoo atafanya ufunguzi huo katika kituo Bagamoyo

Comments