MWANADADA BINGWA WA NDONDI APATA MTOTO

Bondia wa kike nchini Pendo Njau akiwa na mwanae mchanga ambaye amejifungua hivi karibuni, Njau ambaye pia ni mkali katika mchezo huo amesema anaendelea vizuri na mtoto wake huyo huku akiwa na furaha ya kumpata mtoto wake huyo, huku akisema muda si mrefu ataanza kufua tena tayari kurejea ulingoni.HONGERA SANA U

Comments