MSONDO NGOMA WAENDELEA KUTOA BURUDANI KWA WAKAZI WA JIJI LA DAR

 Msanii Mpya wa bendi ya Msondo ngoma, Shabani Lendi (kushoto) akipuliza Saxphone wakati wa onesho la bendi hiyo iliyofanyika jumapili katika Ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni wengine ni Hamisi Mnyupe, Romani Mngande na Msemaji wa Bendi hiyo Rajabu Mhamila Super D .

 Msanii mpya wa bendi ya Msondo ngoma Shabani Lendi Akifanya vitu vyake wakati wa Onesho Hilo.
Waimbaji wa bendi ya Msondo ngoma wakiimba wakati wa onesho lao lililofanyika jumapili katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni kutoka kushoto ni Hasani Moshi,Shabani Dede,Msemaji wa Bendi hiyo Rajabu Mhamila Super D na mwimbaji Juma Katundu.(Picha na www.burudan.blogspot.com)

Comments