MEDIA DAY 2012@MSASANI BEACH CLUB

Nikiwa na Angela Msangi wa TBC 1
Masudi Sanani akipokea cheti cha ushindi wa jumla katika michezo akiwakilisha kampunu ya Businss Times
Waandishi toka katika kampuni mbalimbali wakisakata Rhumba toka Fm Academa
                                 Utamu wa Vanilla eeeeee UTamuuuuuuuu...


                                                         Mshindi wa kucheza dansi kwa upande wa wanaume Masawe Mtata akipokea kitita cha shilingi 100,000 kutoka kwa mgeni rasmi Mh.Samuel Sitta 
BI Cheka akiwaongoza Wanaume TMK
FM Academia wakilishambulia jukwaa
Nikiwa na mdau Zena Chande

Comments

  1. YANGA BOMBA-UHURU BRANCHMarch 26, 2012 at 7:16 PM

    Namzimikiaga ANGELLA MSANGI ile mbaya,mpe salamu zangu kimtindo...!

    mdau wa bomba,Revere,masachussetts,us

    ReplyDelete

Post a Comment