LILIAN INTERNET AJIFUA NA WENZAKE TAYARI KUWAPA RAHA MASHABIKI KESHO NYUMBANI LOUNGE

 Mnenguaji mpya wa Mashujaa band Liliani Tungaraza 'Internet' akifanya mazoezi na wenzake leo katika ukumbi wa Mashujaa Pub uliopo Vingunguti jijini Dar es Salaam.Mnenguaji huyo mahiri aliyekuwa akifanya kazi Twanga Pepeta kabla ya kunyakuliwa na Mashujaa wiki iliyopita, kesho atatambulishwa rasmi katika onyesho litakalofanyika ukumbi wa Nyumbani Lounge.
 Lilian akiwa na wanenguaji wenzake wa Mashujaa Musica katika mazoezi ya kujiweka sawa miili yao leo




Comments

  1. YANGA BOMBA-UHURU BRANCHMarch 6, 2012 at 5:37 PM

    mwanangu huyo mwenye kisuruali cha blue bahari anaitwa nani?lol mtoto anaonekana ana stimulus package nyuma kuliko hata lilian mwenyewe sijajua reception kama nayo inalipa.

    Nakiyaona mambo hayo nakumbuka kweli kurudi bongo

    mdau wa bomba la uhuru a.k.a.bomba la juu,revere,masachussetts, usa

    ReplyDelete

Post a Comment