KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI SUPER D AWAFUA VIJANA WA KAMBI YA ILALA

 Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Nchini, Rajabu Mhamila Super D (kulia) akimwelekeza bondia Emanuel Malolo, jinsi ya kutupa makonde wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Iala Amana CCM, Dar es salaam jana.

Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Nchini, Rajabu Mhamila Super D (kulia) akimwelekeza bondia Saidi Mtitu jinsi ya kutupa makonde wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Ilala Dar es salaam jana.(Picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com)

Comments