BAADA YA KUIRARUA KIYOVU, SIMBA WAGEUKIA VPL

BAADA ya kusonga mbele kwenye kombe la Shirikisho CAF), Wekundu  wa Msimbazi Simba sasa wanahamishia makali yao kwenye ligi kuu soka Tanzania Bara.
Simba chini ya jkocha wake mkuu Milovan Cirkovic juzi iliitoa Koyovu Sport ya Rwanda kwa jumla ya mabao 3-2 na kwa ushindi huo sasa watakutana na Es Setifience ya Algeria.
Ofisa habari wa Simba Ezekiel Kamwaga amesema kwamba kikosi cha Simba kimeingia kambini tangu jana katika hoteli ya Bamba Beach na kikikiendelea na mazoezi kwa ajili ya mchezo huo.
Simba kesho itaendelea na ligi hiyo kwa kukwaana na Kagera Sugar ya Kagera kwenye dimba la Taifa jijini Dar es Salaam

Comments