ASAMOH, MWAPE WEUPEE DIMBANI -PAPIC

KOCHA mkuu wa Yanga Kostadin Papic amesema analazimika kuwatumia nyota wake wa kimtaifa Mzambia Davies Mwape na Mghana Kenneth Asamoah kutokana na kuwa upungufu katika kikosi chake, lakini wachezaji hao hawana lolote dimbani.
Papic amesema kuwa wachezaji hao hawana viwango vinavyohitajika kama wachezaji wa kimataifa kwani kwa  sasa na kusema kuwa nyota wa kimataifa waliopo katika kikosi hicho anaojivunia nao ni Mganda Hamis Kiiza na Mnyarwanda Haruna Niyonzima

Comments