ZOEZI LA UTOAJI FOMU KUWANIA UONGOZI DRFA LAFUNGWA, 19 WAJITOKEZA

MUHIDIN NDOLANGA, MWENYEKITI KAMATI YA UCHAGUZI


WAKATI zoezi la uchukuaji na urejeshaji fomu za kuwania nafasi mbalimbali za uongozi wa chama cha soka mkoa wa Dar es SAlaam (DRFA) likifungwa jioni ya leo, wadau 19 wakijitokeza.

Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya DRFA, Alhaj Muhidin Ndolanga amesema baada ya kukamilika kwa zoezi hilo wataendelea na ratiba nyingine kama zilivyopangwa.

UENYEKITI:
 Amin Bakhressa, Salum Mwaking’inda, Salum Mkemi na Frank Mchaki.

MAKAMU MWENYEKITI:
Hamis Kisiwa na Tambaza Gunguliza.

KATIBU MKUU:
Msanifu Kondo 


MWEKA HAZINA:
Ali Hassani

UJUMBE KAMATI YA UTENDAJI:
  Kanuti Daudi, Hamisi Mpapai na Abeid Mziba.

UWAKILISHI WA MKUTANO MKUU -TFF
 Muhsin Balhabou

UWAKILISHI WA VILABU:
 Mohammed Bhinda, Lameck Nyambaya,Ben Kisaka, Suleiman Kidodi na Ramadhan Kampira.

Comments