YANGA WALA BATA KATIKATI YA JIJI

YANGA imepiga kambi katika hoteli ya JB Belmont iliyopo katikati ya jiji la Dar es Salaam kujiandaa na mechi yake ya ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya Zamlek ya Misri inayotarajiwa kupigwa jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Pamoja na kujichiumbia hotelini hapo wanajanwania hao piua wanaendelea na mazoezi kwenye uwanja wa shule ya sekondari Loyola.

Comments