VIBOPA YANGA WAJIPANGA KUIUA ZAMALEK

MATAJIRI mbalimbali wa klabu ya soka ya Yanga wanatarajia kuchangisha fedha kwa ajili ya kutunisha mifuko ya wachezaji wa timu hiyo ili waweze kuwa na ari na nguvu za kufanya vema katika mechi yao ya kwanza ya ligi ya mabingwa dhidi ya Zamalek ya Misri utakaopigwa Februari 18 mwaka huu kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

Comments