UZINDUZI REDD'S MISS TANZANIA WAFANA



 MISS Tanzania Salha Israel akiwaongoza baadhi ya warembo walioshiriki shinmdano la Miss Tanzania mwaka jana katika kuzindua nembo ya wadhamini wapya wa mashindano hayo kampuni ya Bia Tanzania (TBL) kupitia kinywaji cha Redd's ambapo hafla ya uzinduzi ilifanmyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Mlimani City, jijini Dar es Salaam.

 Bendi ya Tanzanite ilikuwa iktoa burudani

 Baadhi ya Wadau waliohudhuria
 Meneja wa b ia ya Redd's Victiria Kimaro akitoa neno


Comments