UKWA NAYE ATANGAZA NIA 2012


MUIGIZAJI maarufu nchini Nigeria OSITA Iheme ametangaza ni ya kutaka kufunga ndoa ili aende sawa na pacha wake katika kazi Aki ambaye alifunga ndoa mwaka jana.
Pawpaw ametangaza azima yake hiyo wakati alipokuwa akikabidhiwa tuzo ya heshima ya Nigeria Member of the Order of the Federal Republic (MFR) na rais wa nchi hiyo, Goodluck Jonathan.
Alisema kuwa anataka kufunga ndoa na mwanamke mwigizaji ambaye ataishtua dunia siku atakapomuanika hadharani.

Comments