SIMBA KWENDA RWANDA KESHO


WAWAKILISHI wa Tanzania katika kombe la Shirikisho timu ya soka ya Simba wanatarajiwa kuondoka ko kwenda nchini Rwanda tayari kwa mechi yao ya awali dhidi ya KIyovu ya huko itakayopigwa Jumamosi.
Tayari uongozi wa Simba kupitia kwa mwenyekiti wake Alhaj Ismail Aden Rage umejitapa timu yao kuondoka na ushindi ugenini.

Comments