RAIS JK ABURUDIKA NA MAKHIRIKHIRI 'LIVE' BOTSWANA

 Rais  Dkt. Jakaya  Mrisho Kikwete akishuhudia ngoma za asili nchini Botswana 'Makhirikhiri'mara baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Sir Serese Khama jijini Gaberone, Botswana, leo  kwa ziara ya kikazi ya siku mbili ambapo pia athudhuria sherehe za miaka 50 ya chama tawala cha Botswana Democratic Party. hapo uwanjanio amepokelewa na Rais wa Botswana Luteni generali Seretse Khama Ian Khama.

TAWALA CHA BOTSWANA DEMOCRATIC PARTY NA SIO SHEREHE ZA MIAKA 50 YA UHRU KAMA

Baadhi ya wakazi wa Botswana wakimlaki rais Kikwete

Comments