NYUMBA ZA WASANII SIYO UTAPELI TENA, CHEKI VITU HIVYO...


Waandishi wa habari za michezo pamoja na wasanii, wakitembea kwa ajiliya kwenda kuangalia ujenzi unaoendelea wa nyumba zao, katika kijijicha Mwanzega Kimbiji Tarafa ya Mkuranga Chingungweni Mkoa wa Pwanijana kutoka kulia ni Tomm Chilala, Kibwana Dachi na Kikumbi MwanzaMpango ' King Kiki'.(picha na www.burudan.blogspot.com)

Comments