MZEE WA SKONGA ALAN LUCKY APATA JIKO

 
Mtangazaji wa East Africa TV Bw. Allan Lucky Komba ambaye pia ni Rais wa wanafunzi a.k.a SKONGA akimbusu mkewe Haika Samwel mara baada ya kufunga pingu za maisha mwishoni mwa wiki katika ukumbi wa Station. 
  Mtangazaji wa East Africa TV Bw. Allan Lucky Komba ambaye pia ni Rais wa wanafunzi a.k.a SKONGA akila kiapo cha ndoa iliyofungwa mwishoni mwa wiki hii katika ukumbi wa The Stalion jijini Dar es Salaam.
  Bibi Harusi Haika Samweli akila kiapo cha ndoa.
 
Bwana Harusi akimvisha pete mkewe.
  Bibi Harusi naye  hivyo

  
  Ndugu, jamaa na marafiki waliohudhuria ibada ya ndoa hiyo. 
  Sasa ni mwili mmoja.
 Maharusi wakikata Cake
Mr & Mrs. Allan Lucky wakiwa meza kuu.

Comments