MSANII SIMON MWAPAGATA 'RADO' ATOA MSAADA KWA WATOTO BUGURUNI VIZIWI KWA KUSHIRIKIA​NA NA KAMPUNI YA STEPS ENTATAINME​NT

 Msanii wa filamu nchini Simoni Mwapagata (Rado) (kushoto) akitoa msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo juice na biskuti kwa mtoto wa shule ya Buguruni Viziwi,Isack Ntira, Dar es salaam jana msaada huoumetolewa na msanii huyo kwa kushilikiana na kampuni ya Steps Entertainment, kulia ni Ibrahim Mbena

Msanii wa filamu nchini Simoni Mwapagata rado (kulia) akitoa msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo juice na biskuti kwa watoto wa shule ya Buguruni, Viziwi Dar es salaam jana msaada huo umetolewa na msanii huyo kwa kushilikiana na kampuni ya Steps Entatainment 
 Msanii wa filamu nchini Simoni Mwapagata (Rado) (kushoto) akitoa msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo juice na biskuti kwa mtoto wa shule ya Buguruni Viziwi,Winni Niko, Dar es salaam jana msaada huo umetolewa na msanii huyo kwa kushilikiana na kampuni ya Steps Entatainment.
Msanii wa filamu nchini Simoni Mwapagata rado (kulia) akitoa msaada wa vitu mbalimbali vikiwemo juice na biskuti kwa watoto wa shule ya Buguruni, Viziwi Dar es salaam jana msaada huo umetolewa na msanii huyo kwa kushilikiana na kampuni ya Steps Entatainment (Picha na www.burudan.blogspot.com)

Comments