MHARIRI MTENDAJI FREE MEDIA AMJULIA HALI ANGETILE OSIAH

 Mhariri Mtendaji wa kampuni ya Free Media Absalom Kibanda akibadilishana mawazo na KAtibu Mkuu wa TFF Angetile Osiah ambaye amelazwa Wodi ya Taasisi ya Mifupa (MOI) kwenye hospitali ya Taifa Muhimbili akisumbuliwa na uvimbe sehemu ya kichwa, hali ya Osiah inaendelea vizuri.
 Mwandishi wa gazeti la Tanzania Daima Vicky Kombe naye alikuwa ni mmoja ya waliokwenda kumjulia hali Osiah hapa wakizungumza mawili matatu.


PICHA ZOTE NA FRANCIS DANDE

Comments