KUZINA YANGA, ZAMALEK SHILINGI 3,000 HADI 50,000

VIINGILIO katika mechi ya ligi ya mabingwa Afrika baina ya Yanga na Zamalek ya Misri inayotarajiwa kufanyika Machi 18 mwaka huu vimepangwa kuwa shilingi 50,000 kwa viti maalum huku kiingilio cha chini shilingi 3,000.
Aidha viingilio vingine ni 7,000, 10,000, 15,000 na 30000

Comments