KUMRADHI WADAU WANGU

Habari  Wadau
Ni yangu matumaini kuwa mpo katika hali nzuri za kiafya, kwa wagonjwa poleni sana na nawatakia uponaji wa haraka.
Napenda kuchukua fursa hii kuwaomba radhi wadau wangu wapendwa kutokana na blogu hii kutokuwa hewani kwa wiki karibu mbili hali iliyotokana na matatizo kidogo ya kimtandao,namshukuru mungu yamemaliuzika na kurejea vema.
Nawashukuru wote waliokuwa wakinitumia ujumbe kwa njia mbalimbali kutokana na hali hiyo, hivyo napenda kuchukua fursa hii kuwapa pole ya kukosa taarifa hizo kwa kipindi husika.
Ni yangu matumaini nitaendelea kuwapa taarifa mzipendazo za MICHEZO  na BURUDANI na karibuni wote wenye taarifa kuziwasilisha kupitia dinazubeiry@gmail.com.
Mbarikiwe Sana.

Comments

Post a Comment