KUMEKUCHA KILI MARATHON 2012


MKURUGENZI Mtendaji wa Executive Solutions  Aggrey Marealle (Katikati)akizungumza na waandishi wa habari leo kuhusiana na michuano ya riadha ya Kili Marathon kwa mwaka 2012 ambapo itashirikisha wanariadha kutoka Tanzania na wengine kutoka nchi zaidi ya 40.Michuanoi hiyo inatarajiwa kufanyika Februari 26 huko Moshi, Kilimanjaro.Kushoto kwake ni ofisa kutoka kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Ibrahim Kaunde na kulia kwake ni Rais wa At, Julius Msomi.

Comments