KINYOGOLI AMNOA MATUMLA


Kocha Mkongwe wa mchezo wa masumbwi Nchini , Habibu Kinyogoli (kulia)akimwelekeza bondia Rashidi Matumla 'Snake Man' jinsi ya kurusha Ngumiwakati bondia huyo alipotembelea kwa ajili ya kujifua katika Kambi yaILala, Dar es salaam jana Matumla anajiandaa na mpambano wake mwinginedhidi ya Maneno Osward litakalofanyika tareha 25 katika ukumbi wa PTASabasaba Dar es salaam.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

Comments