CHIPOLOPOLO V IVORY COAST SASA FAINALI AFCON 2012

TIMU za Taifa za Zambia  'Chipolopolo' na Ivory Coast zitakutana katika mchezo wa fainali ya michuano ya Mataifa ya Afrika 2012.
Wakati Zambia ilikata tiketi hiyo baada ya kuikwanyua Ghana kwa bao 1-0 katika mchezo wa nusu fainali, Ivory Coast nayo ilifanikiwa kufika hatua hiyo baada ya kuigunfa Mali bao 1-0.

Comments