AKUDO IMPACT KUTAMBULISHWA WANAMUZIKI WAKE WAPYA MWISHONI MWA WIKI HII


KIONGOZI wa Akudo Impact 'Vijana wa Masauti' Tarsis Masela anayepiga makofi akiwatambulisha wanamuziki wake wapya walionyakuliwa kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) kutoka kushoto ni Loseke Djungu 'Jlove', Fabrice Mombili, Merle Yamba na Katoto Blavier ambapo maonyesho hayo yatafanyika Ijumaa (Mango Garden,Kinondoni), JUmamosi (Golden Three ,Sinza) na Jumapili (Msasani Beach Club, Kawe).

Comments