YANGA KUJIPIMA NA VILLA SQUAD LEO

MABINGWA wa ligi kuu soka Tanzania Bara timu ya Yanga jioni ya leo watashuka katika dimba la Chamazi jijini Dar es Salaam katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Villa Squad.
Mechi hiyo ni sehermu ya maandalizi ya mzunghuko wa pili wa ligi kuu bara kwa timu hizo.

Comments